Watu 3, wote walimu wameuawa mapema leo kufuatia uvamizi kutoka kwa watu wanaoaminiwa kuwa Wanamgambo wa Kundi la Al-Shabaab

Tukio hilo limetokea saa 9 usiku wa kuamkia leo katika eneo la Kamuthe Resource Centre Mjini Garissa ambapo polisi nchini humo imetoa taarifa hiyo 

Katika shambulizi hilo, Mnara wa Kampuni ya Mawasiliano ya Safaricom uliharibiwa na gari la polisi liliharibiwa kwa kuteketezwa moto

 

Share with Others