Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewaongoza viongozi mbalimbali, wakiwemo wabunge, mawaziri na wananchi, kumuaga aliye

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru Mkoa wa Lindi kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imewafikisha mahakamani watu watano

Klabu ya Azam FC kupitia kwa Afisa habari wake Zakaria Thabit imesema, haijapokea taarifa za uwanja wao wa Azam Complex kufungiwa na CAF, kama taar

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru Mkoa wa Lindi kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imewafikisha Mahakamani watu watatu

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Hashim Komba ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU wilayani humo kufanya uchunguzi w

Kikosi cha wachezaji wa Namungo fc wamezuiliwa uwanja wa ndege wa Luanda nchini Angola baada ya maafisa nchini humo kudai kuwa wachezaji watatu na

Serikali kupitia kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Selemani Jafo imetoa maagizo kwa wakuu wa shule zote nchini kuhakikisha somo la michez

Mkazi wa kijiji cha Mpalu kata ya Nakahako Wilayani Newala Mkoani Mtwara ZUHURA SWALEHE UHECHE (35) amefariki dunia na we

Kufuatia kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nguruwe wilayani Kahama mkoani Shinyanga Serikali imelazimika kupiga marufuku, uuzaji, usafirish

Mahakama ya Uturuki imemhukumu muhubiri wa dini katika televisheni kifungo cha miaka 1,000 jela kwa makosa yanayohusiana na ngono.

Pages