Ili kuzuia ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona watu nchini Mauritius kuanza sasa wanatakiwa kwenda madukani katika siku maalum

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Gaspar Byakanwa amehalalisha upikaji na unywaji  wa gongo inayotengenezwa kwa mabibo kwani ni salama kwa matumizi y

Mtu mmoja ambaye alithibitishwa kuwa na maambukizi ya #HantaVirus amefariki dunia akiwa kwenye basi katika Jimbo ya Yunnan.

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameunda Kamati 3 zitakazobeba jukumu la kupambana na maambukizi ya Virusi vya #COVID-19 hapa nchini

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Wallace Karia ameziambia klabu za Ligi Kuu Bara endapo zitawaruhusu wachezaji wao wa kigeni kurejea katik

Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) ya mwaka 2020 kuhusu furaha imewaorodhesha Wananchi wa Ukanda wa Afrika Mashariki kama baadhi ya watu wasiokuwa na

Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga wa miezi 10.

Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Christopher Ngubiagai amekemea vikali nakuahidi kuwachulia hatua kali, baadhi ya wan

Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu milioni 24 ulimwenguni wanaweza kupoteza ajira zao kutokana na athari za COVID-19.

Pages