Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 33 aliyemwagiwa tindikali na aliyekuwa mpenzi wake amefungua kesi dhidi ya polisi wa jiji la Leicester nchini U

Japan imepata pigo la kuporomoka kwa idadi ya watu na watoto waliozaliwa mwaka huu, kwa mujibu wa takwimu za Serikali ya nchi hiyo.

Tunapozungumza rangi ya mwaka tunakuwa na maana ya kuwa ni rangi itayoonekana katika shughuli au maeneo mbalimbali kwa mwaka husika kama harusi, ra

Mapambano dhidi ya mlipuko wa Ebola katika wilaya ya Beni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yameanza tena baada ya kusitishwa kwa muda

Uongozi wa jamii ya Kwazulu Natal, Afrika Kusini, imewataka wanaume ambao wana umri wa kuoa kulipa kodi, na kuwa na barua ya utambulisho wa umiliki

Amezikataa kampuni 13 zilizojaribu kupeleka mapendekezo kwa Waziri Mkuu zikitaka kununua Korosho ikiwa ni baada ya kutolewa siku nne kwa Wanunuzi k

Wanasayansi nchini Uingereza na Gambia wanasema wana ushahidi wa awali unaoonesha kuwa mbwa wanaweza kunusa malaria.

Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika, mwenye umri wa miaka 81, atapeperusha bendera ya chama cha National Liberation Front (FLN), katika uchaguzi w

Sakata la mauaji ya mwandishi wa habari wa gazeti la Washington Post, Jamal Khashoggi limechukua sura mpya baada ya CCTV kamera kuwaumbua baadhi ya

Mapambano makali yamezuka kati ya jeshi la Congo, FARDC na waasi katika eneo la Ruzizi, Kivu kusini baada ya wapiganaji zaidi ya 300 kutoka Burundi

Pages