Sanamu ya aliyekuwa rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini Marehemu Nelson Mandela, limezinduliwa katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijin

Marais na viongozi wa serikali zaidi ya 130 wanatarajia kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka huu.

Uganda inasema hakuna uwezekano wa maambukizi ya ugonjwa hatari wa Ebola ambao umewaathiri wakazi wa Beni Mashariki mwa DRC, kufika nchini humo.

Mwansiasa mkuu nchini Kenya leo amefikishwa mahakamani katika mji mkuu Nairobi kwa mashtaka ya kusaidia na kupanga mauaji.

Serikali ya India imeidhinisha sheria mpya ambayo inafanya kile kinachofahamika kama "talaka ya papo hapo" kuwa kosa la j

Nigeria imetangaza hali ya maafa ya kitaifa baada ya mafuriko makubwa ambayo yamesababisha watu watu mia moja kupoteza maisha.

Waziri wa Elimu nchini Afrika Kusini, Angie Motshekga ametanganza kuwa lugha ya Kiswahili imeidhinishwa kama lugha ya pili itakayofundishwa mashule

Waandamanaji wenye hasira kali wameuzingira mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa baada ya kuuawa kwa watu 23 wakati wa mapigano ya kikabila yaliyoibuka

Dar es Salaam ni mji wa pili Afrika mashariki kwa utajiri baada ya Nairobi, ambapo kwa jumla Afrika ni mji wa 12 na Nairobi mji wa sita huku Mombas

Pages