Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu , ICC, imemuhukumu kiongozi wa zamani wa kivita , pia kiongozi wa chama cha MLC Jean-Pierre Bemba kifungo cha miez

Mahakama ya Lyon nchini Ufaransa imewakuta na hatia raia wawili kutoka nchi hiyo wenye umri zaidi ya miaka hamsini kwa kupanga mauaji dhidi ya mwan

Upepo mkali unatokana Kimbunga Florence ambacho kinatishia watu wengi Marekani kimeanza kupigia maeneo ya pwani ya mashariki ya Marekani.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Kikao Maalum cha Kamati Kuu iliyoketi Jumatatu, Septemba 10, 2018, jijini Dar es Salaam, kimemt

Mwili wa aliyekuwa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan unatarajiwa kuzikwa hii leo katika mji mkuu wa Ghana, Accra.

Ripoti ya pamoja iliyochapishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kiliomo (FAO) na mashirika mengine manne ya umoja huo yanayohusika na

Viongozi wa mataifa ya Ethiopia na Eritrea wameshuhudia kufunguliwa kwa mpaka huo muhimu ambao ulikuwa umefungwa kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita

Pages