Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Kikao Maalum cha Kamati Kuu iliyoketi Jumatatu, Septemba 10, 2018, jijini Dar es Salaam, kimemt

Mwili wa aliyekuwa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan unatarajiwa kuzikwa hii leo katika mji mkuu wa Ghana, Accra.

Ripoti ya pamoja iliyochapishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kiliomo (FAO) na mashirika mengine manne ya umoja huo yanayohusika na

Viongozi wa mataifa ya Ethiopia na Eritrea wameshuhudia kufunguliwa kwa mpaka huo muhimu ambao ulikuwa umefungwa kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita

Kwa mjibu wa shirika la Madaktari wasio na Mipaka MSF.

Mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, ambaye alifariki mwezi uliopita, umewasili katika nchi aliyozaliwa, Ghana.

Tetemeko kubwa lililopiga  kisiwa cha Hokkaido, kaskazini mwa Japani limeua watu 44 na hakuna mtu ambaye alitoweka, serikali imetangaza hivyo.

Mbunge wa jimbo la kigoma mjini Zitto Zuberi Kabwe amekanusha taarifa iliyoandikwa na gazeti la Tanzanite zikimtuhumu kumuoa mke wa aliyekuwa mbung

Shirika la kimataifa linalohusika na watoto la Save the Children, linakadiria kwamba zaidi ya watoto laki tano wa kike na wa kiume wanatarajiwa kuf

Pages