Mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, ambaye alifariki mwezi uliopita, umewasili katika nchi aliyozaliwa, Ghana.

Tetemeko kubwa lililopiga  kisiwa cha Hokkaido, kaskazini mwa Japani limeua watu 44 na hakuna mtu ambaye alitoweka, serikali imetangaza hivyo.

Mbunge wa jimbo la kigoma mjini Zitto Zuberi Kabwe amekanusha taarifa iliyoandikwa na gazeti la Tanzanite zikimtuhumu kumuoa mke wa aliyekuwa mbung

Shirika la kimataifa linalohusika na watoto la Save the Children, linakadiria kwamba zaidi ya watoto laki tano wa kike na wa kiume wanatarajiwa kuf

TAKRIBAN watu 19 wamefariki dunia hapo jana baada ya ndege ndogo ya abiria iliyokuwa ikitokea uwanja wa ndege wa kimataifa Juba kuelekea mji wa Yir

Rais wa Sudan Omar la Bashir amevunja Baraza lake la Mawaziri na kumchagua Waziri mkuu mpya ikiwa ni hatua ya kukabiliana na mzozo wa kiuchumi ulio

Mgombea anayeongoza na anaeaminika anaweza kushinda uchaguzi nchini Brazili Jair Bolsonaro, amechomwa kisu wakati wa kampeni zake , mgombea huyo wa

Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi imewasilisha ripoti yake mjini Geneva kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini humo mwaka h

Mahakama  hiyo ya Juu nchini humo imehalalisha ushoga  kwa kuondoa kifungu cha sheria kilichokuwa kikikataza vitendo hivyo

Uhaba mkubwa wa mafuta umelikumba jiji la Nairobi Nchini Kenya huku vituo vingi vya kuuza mafuta vikiwa havina bidhaa hiyo muhimu.

Pages