Msanii wa kizazi kipya anaetamba na wimbo wa sina alitemshirikisha Madee Barakah the prince amewafungukia wanaomzushia na kumwambia ametembea na mw

Mbunge Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine alipokiwa akiondoka nchini Uganda kwenda kwenye matibabu nchini Marekani

Afya ya umma nchini Uingereza imewashauri watu walio na zaidi ya miaka 30 kujipima mitandaoni ili wapate kuelewa umri wa mioyo yao, hatua i

Peju Jaiyeoba amesambaza vifaa laki tano vya kujifungua vilivyosalama nchini Nigeria -mfuko ulio na vifaa muhimu ili kuhakikisha kuwa wakina mama w

Mashujaa Group Ltd Kampuni inayomiliki Radio Mashujaa FM ya Lindi inatangaza nafasi za kazi: 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amempa wiki mbili Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Simon Sirro kufika ofisini kwake kumueleza mikaka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Joseph Pombe Magufuli ameibuka kidedea baada ya kujinyakulia tuzo ya ushindi katika kinyang’anyiro ch

Rais Dkt. John Magufuli amesema hakuna mwenye uhakika wa cheo katika serikali ya awamu ya tano kwani hata yeye mwenye hana uhakika kama atakuwa Rais wa muda wote na kuwataka viongozi kushughulika na matatizo ya wananchi mapema na sio kumsubiri yeye kuyatatua.
Daktari wa falsafa na mshauri wa masuala ya ndoa nchini Dkt. Ellie V.D Waminian, ameeleza kuwa wanawake hutegemea zaidi furaha kutoka kwa waume zao na wakikosa huduma hiyo,matokeo yake ni kukosa kujiamini.
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili Judith Amoni Mwansansu(39) ambaye ni bibi wa mtoto na Aive Alex Swalo(17) shangazi yake, kwa kosa la kumfanyia vitendo vya ukatili mtoto, Daines Kefas Mwansasu(06) vya kumuunguza kwa moto na kumpiga.

Pages