Mashujaa Group Ltd Kampuni inayomiliki Radio Mashujaa FM ya Lindi inatangaza nafasi za kazi: 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amempa wiki mbili Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Simon Sirro kufika ofisini kwake kumueleza mikaka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Joseph Pombe Magufuli ameibuka kidedea baada ya kujinyakulia tuzo ya ushindi katika kinyang’anyiro ch

Rais Dkt. John Magufuli amesema hakuna mwenye uhakika wa cheo katika serikali ya awamu ya tano kwani hata yeye mwenye hana uhakika kama atakuwa Rais wa muda wote na kuwataka viongozi kushughulika na matatizo ya wananchi mapema na sio kumsubiri yeye kuyatatua.
Daktari wa falsafa na mshauri wa masuala ya ndoa nchini Dkt. Ellie V.D Waminian, ameeleza kuwa wanawake hutegemea zaidi furaha kutoka kwa waume zao na wakikosa huduma hiyo,matokeo yake ni kukosa kujiamini.
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili Judith Amoni Mwansansu(39) ambaye ni bibi wa mtoto na Aive Alex Swalo(17) shangazi yake, kwa kosa la kumfanyia vitendo vya ukatili mtoto, Daines Kefas Mwansasu(06) vya kumuunguza kwa moto na kumpiga.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesimamisha shughuli zote za Bank M na kuiweka chini ya uangalizi wake kuanzia leo hii Agosti 2, 2018.
Mhe. Lukuvi aligundua hayo baada ya kuona utaratibu wa umilikishaji wa ardhi haukufuatwa  na badala yake kuonekana kuwa na mianya ya rushwa kwa kuwa ardhi hiyo imehamishwa kutoka ardhi ya kijiji hadi kumilikishwa kwa kampuni ya Azimio ambapo kisheria ilitakiwa hati ya eneo hilo itoke kwa idhini ya Rais.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameamuru kusimamishwa kazi Afisa Mipango Miji wa Lindi Ndugu Castory Manase Nkuli baada ya kunyang`anya ardhi ya vijiji vya Ruvu na Mchinga hekari 4000 na kumilikisha kampuni ya Azimio Housing Estate kinyume cha sheria ya Ardhi.

Pages