Jackline Samwel (9), amefariki dunia leo Alhamisi Desemba 12, 2019 baada ya kugongwa na gari lililokuwa katika msafara wa Inspekta Jenerali wa Poli

Katika hali ya kustaajabisha, wanafunzi na mabinti kati ya miaka 10 hadi 15 katika mkoa wa Shinyanga wamekuwa wakipelekwa na wazazi wao kwa waganga

Watu watano wasadikiwa kufariki na wengine 27 hawajulikani walipo kutokana na mlipuko wa vulkano, huku watu 23 wakiokolewa na polisi wametahadharis

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mwenzake wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba wametumia furs

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza kusamehe Wafungwa 5,533 huku akisema kuwa Mkoa ambao wafungwa wengi wameachiwa ni Mkoa wa Kagera

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema licha ya kuahidi kujenga meli mpya wakati wa kampeni zake mwaka 2015, lakini hakujua fedha atazitoa wapi.

TMA inatoa taarifa ya uwezekano wa kutokea kwa vimbunga pacha magharibi mwa Bahari ya Hindi upande wa kaskazini na kusini mwa Ikweta na hivyo kuwa

Wanafunzi 701, 038 sawa na asilimia 92.2 waliomaliza darasa la saba wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule za serikali kwa mwaka 202

Aliyekua Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilaya ya Masasi mkoani Mtwara , Aziz Mrope amevuliwa nafasi hiyo pamoja n

Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, Frederick Sumaye ametangaza kuondoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Pages