Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameunda Kamati 3 zitakazobeba jukumu la kupambana na maambukizi ya Virusi vya #COVID-19 hapa nchini

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Wallace Karia ameziambia klabu za Ligi Kuu Bara endapo zitawaruhusu wachezaji wao wa kigeni kurejea katik

Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) ya mwaka 2020 kuhusu furaha imewaorodhesha Wananchi wa Ukanda wa Afrika Mashariki kama baadhi ya watu wasiokuwa na

Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga wa miezi 10.

Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Christopher Ngubiagai amekemea vikali nakuahidi kuwachulia hatua kali, baadhi ya wan

Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu milioni 24 ulimwenguni wanaweza kupoteza ajira zao kutokana na athari za COVID-19.

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na watoto Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko zaidi la wagonjwa wa Corona na kufikia watatu huku wash

Hadi kufikia alfajiri ya leo, Watu 169,662 walikuwa wameambukizwa virusi hivyo huku Watu 6,518 wakipoteza maisha na Watu 77,775 wakipona

Wizara ya Afya nchini Rwanda imetangaza kuchukua hatua ili kudhibiti maambukizi ya Virusi vya Corona baada ya mtu mmoja kukutwa na Virusi hivyo

Pages