Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imekuja na mpaka wa kuanza kukata kodi kwa Kila mtu atakayeshinda katika mchezo wa kubahatisha unaofanyika kwenye casino yeyote Nchini. Pamoja na hayo pia msimamizi wa mchezo husika atapaswa kukata kodi kabla ya kumruhusu mchezaji kuendelea mchezo mwingine katika CASINO husika.

Kila mshindi atakaecheza atakatwa asilimia 12 ya fedha yote aliyoipata.
 

Share with Others