Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO), watu 203,921 wamepoteza maisha kutokana na janga la #COVID19 mpaka kufikia leo April 26 2020 

 

Vilevile watu 2,955,469 ulimwenguni kote wana maambukizi ya Virusi vya corona. Aidha, Wagonjwa 814,993 wamepona hadi kufikia sasa

 

Mataifa yaliyoathirika zaidi duniani ni Marekani ambapo  ina wagonjwa 960,896 na vifo 54,265, Uhispania wagonjwa ni 223,759 huku vifo vikiwa 22,902, Italia ina wagonjwa 195,351 na vifo 26,384, Ufaransa 161,488 na vifo 22,614 , Ujerumani 156,513 vifo vikiwa  5,877 na Uingereza yenye wagonjwa 148,377 huku vikiwa 20,319

 

Kwa upande wa Afrika, nchi zenye idadi kubwa ya waathirika mpaka sasa ni Afrika Kusini yenye wagonjwa 4,361 na vifo 86 ikifuatiwa na Misri yenye wagonjwa 4,319 vifo 307, Algeria ina wagonjwa 3256 ambayo ndio inaongoza kwa vifo vingi zaidi Afrika ikiwa na  vifo 419, Cameroon 1,518  na vifo 53 na Ghana yenye wagonjwa 1279 na vifo 

Share with Others