Baada ya kuzuka kwa maandamano ya kupinga Rais Abdelaziz Bouteflika mwenye umri wa miaka 82 kugombea urais kwa muhula mwingine katika nchi ya Algeria kwani amekuwa nadra kuonekana machoni pa watu tangu mwaka 2013 kutokana na tatizo la kupooza.

Rais huyo aliyeiongoza Algeria kwa miongo miwili amesema kuwa hatogombea tena nafasi hiyo ya urais kwani umri na aafya yake havimruusu kufanya hivyo.

Bouteflika amekuwa rais wa nchi ya Algeria tangu mwaka 1999  
 

Share with Others