Jamii wilayani kilwa mkoani Lindi wametakiwa kuachana na migongano ya kisiasa badala yake washirikia kwa pamoja katika
kuijenga kilwa ili waweze kuleta maendeleo .

 

Hayo yameelezwa na mbunge wa kilwa kusini mh SULEMANI BUNGALA maarufu kama bwege alipokuwa akizungumza na
wanainchi wa kata ya kivinje singino kwenye mkutano uliofanyika kilwa kivinje wilayani humo.

 

Sambamba na hilo Bwege amewaasa wananchi wa kilwa hasa kilwa kivinje kuendelea kuilinda bahari yao kwani ndio tegemeo lao la kiuchumi katika eneo hilo 

Share with Others