Mkuu wa mkoa wa sogwe Brigedia Jeneral Mstaafu Nicodemus Mwengela amepiga marufuu wanachana wa CCM kuvaa sare za chama hicho katika sherehe za uwashwaji mwenge wilayani mbozi mkoani humo,


Mkuu huyo wa mkoa ameyasema hayo wakati wa kikao cha kamati ya mwenge  kilichokutana kujadili maandalizi ya sherehe za uwashwaji mwenge kitaifa yatakayo fanyika wilayani mbozi April 2, 2019 na kusema sherehe hizo si za kichama bali kitaifa hivyo ni marufuku kwa wanachama hao kuvaa sare hizo

Share with Others