Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha sheria inayotoa mamlaka kwa mtu binafsi kujipima mwenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU).

Gharama za uandaaji na uchapishaji wa kitabu cha maisha binafsi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ni Tsh.

Mfumuko wa bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka unaoishia mwezi Oktoba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.6 kutoka asilimia 3.4 mwaka ulioishia mwezi Se

Redio Mashujaa fm leo imekabidhi viwekea taka (Dastbini) 7 vyenye thamani ya sh Mil 1,293,000 kwa Wilaya ya Lindi zitakazotumika katika kuimarisha

Wakulima wa zao la korosho Wilayani Liwale na Nachingwea mkoani Lindi chini ya chama kikuu cha Runali wamekubali kuuza korosho zao Kwenye mnada uli

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameivunja Bodi ya Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) iliyoteuliwa rasmi tarehe 1 Disemba 2017 ikiwa na wajum

Tani 1,900,181 za wakulima wa korosho wa Mtama Lindi na Kilwa mkoani Lindi zinatarajiwa kuuzwa katika mnada wa Korosho endapo wakulima watakubalian

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imefanya urejeshaji wa shilingi Milioni  25,480,000 kwa wakulima 152 wa ufuta waliokuwa wamedhu

Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mtumbatimaji Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, amefariki baada ya kufanya jaribio la kutoa mimb

Pages