Mchekeshaji wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa urais , kutokana na kura zilizopigwa.

Jamii wilayani liwale mkoani lindi imeshauriwa kutokula udongo na  badala yake watumie vyakula vinavyosaidia kuleta madini ya chuma mwilini.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemtaka Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt.

Daktari wa uzazi, Jan Karbaat anayeshutumiwa kwa kupandikiza mbegu zake za uzazi kwa wagonjwa bila ridhaa yao amethibitishwa kuwa baba wa watoto 49

Mwanafunzi aliyetajwa kwa jina la Naomi Chepkemboi, amechomwa visu mara kadhaa kifuani na mpenzi wake na alikimbizwa katika hospitali ya Kaunti ya

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba amesema katazo la kuzalisha, kusambaza na kutumia mifuko ya Plastiki ifikapo Mwezi

Mwili wa mtoto aliyetambulika kwa jina la MILFATI ABILAH mwenye umri wa miaka mitano, mkazi wa kata ya Nachingwea

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mashine inayotumika kuchemshia korosho kulipuka wakati wakipatiwa mafunzo ya ubangu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hadi sasa, Serikali imeshahakiki madai ya wakandarasi waliotekeleza miradi ya maji nchini na imewalipa shiling

CAG Prof Mussa Assad amesema kuwa NEC ilinunua mashine 5000 za bvr zisizokidhi vigezo mashine hizo  Ni kati ya 8000 zilizonunuliwa na Tume ya Taifa

Pages