Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amelaani jaribio la mauaji ya halaiki katika eneo la jimbo la Kaskazini kufuatia v

Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema mikoa inayoongoza kwa wananchi wake kuwa masikini Tanzania bara kwa mwaka 2017/2018 ni mkoa wa Rukwa kwa 45%, Sim

Gugumiya Werema(30) amepoteza maisha ghafla wakati akichezesha mpira kati ya Nyakitono FC na Nyanungu FC Wilaya ya Serengeti

Serikali imewahamasisha wakulima nchini kujikita katika katika matumizi bora ya teknolojia za kisasa ili kuongeza tija na kuhakikisha Tanzania inaf

Wakazi wa kijiji cha Muungano Wilayani Lindi mkoani Lindi wameiomba serikali kupitia idara ya wanyamapori kuwafukuza simba waliovamia kijijini hapo

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto imeagiza mashine nane za kupulizia dawa za kuulia mbu kujikinga na ugonjwa wa dengue huk

Mwili wa mtendaji mkuu wa Safaricom, Bob Collymore unachomwa leo katika tukio litakalohudhuriwa na wanafamilia na marafiki wa karibu pekee.

Wakulima wilayani Nachingwea mkoani Lindi wametakiwa kutochanganya zao la ufuta na vitu vingine kwaajili ya kujipatia kilo zisizo halali, kunaweza

Adhabu ya kifungo cha miaka 30 au maisha jela inayotolewa kwa watu wanaokutwa na hatia ya kulawiti, kubaka na kuwapa mimba wanafunzi inaonekana kut

Wananchi wa Burundi hii leo wanaadhimisha kumbukizi ya miaka 57 tangu Taifa hilo lilipojipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Ubelgiji Julai 1,

Pages