Kiungo kutoka nchini Ghana Mubarak Wakaso amenusurika kwenye ajali ya gari, akiwa nchini Hispania mapema jana jumapili.

Mamlaka nchini Sudan Kusini inaendelea na mazungumzo dhidi ya wafungwa ambao wamejihami kwa bunduki na visu, na ambao wanashikilia eneo la gereza h

Nahodha wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya England ametangaza uamuzi wake huo baada ya kucheza soka la kulipwa kwa miaka 23

Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Jiji la Dodoma limekusanya bilioni 25 na kuvuka lengo la bilioni 19 huku Jiji la  Mbeya likishika mkia kw

Mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya(CUF) amefafanua kuwa watamkamata Katibu Mkuu wa chama cha CUF Maalim Seif asipofuata utaratibu kutoka kwa Mwenye

Mwanamke mmoja barani Ulaya afariki dunia baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio, mwanamke huyo aliamua kufanya upasuaji wa bei nafuu unao

Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imekuja na mpaka wa kuanza kukata kodi kwa Kila mtu atakayeshinda katika mchezo wa kubahatisha unaofanyika kwenye ca

Takukuru Imeagizwa kufanya uchunguzi wa haraka kwa Taasisi 30 ikiwamo BOT kutokana na kuwapo na viashiria vikubwa vya rushwa katika hatua za awali

Msanii wa filamu, Elizabeth Michael ’Lulu’, amebakiza siku 40 kumaliza kifungo chake huku akielezwa kuwa mtiifu kipindi chote.

Pages