Rais wa Tunisia, Beji Caid Essebsi amelazwa hospitali baada ya kukumbwa na tatizo la dharura la kiafya.

Kuanzia Julai mosi mwaka huu serikali inatarajia kutoa tamko rasmi, litakalolenga kuhakikisha kila dereva wa lori na basi nchini, anakuwa na mkatab

Mbunge wa jimbo la Starehe, Charles Njagua maarufu Jaguar atalala tena rumande kwa leo katika Kituo cha Polisi cha Kileleshwa baada ya kukosa dhama

Tanzania imeungana na mataifa mengine duniani leo Juni 26, kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na matumizi na biashara ya dawa za kulevya, i

Mbunge wa Jimbo la Starehe nchini Kenya, Charles 'Jaguar' Njagua, amekamtwa nje ya majengo ya Bunge kufuatia kauli zake za ‘kibaguzi' akiwataka waf

Homa ya dengue huitwa pia homa inayovunja mifupa ( breakbone fever), ni moja ya maradhi ambayo hutokea zaidi msimu wa mvua.

Serikali ya Kenya imekosoa na kusema maudhui ya video ya Mbunge Jaguar sio msimamo wa serikali na kuongeza kuwa watu wa nchini #kenya

Makao makuu ya kanisa katoliki duniani Vatican, yamefungua rasmi mdahalo juu ya suala la kuruhusu wanaume walioowa kutumikia kanisa kama mapadri ka

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa Wizara yake haijatangaza hali ya hatari juu ya ugonjwa wa Eb

Ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimeungua moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha vitu vilivyokuwamo ndani kuungua moto.

Pages