Maombi ya kupinga kushikiliwa kwa ndege ya Tanzania, Airbus nchini Afrika Kusini yanatarajiwa kusikilizwa leo na Mahakama Kuu nchini humo.

Idadi ya vifo kutokana na maradhi ya Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imeongezeka na kufikia zaidi ya 2000. 

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga amesema  walipoenda kulipa Wakulima walidhani ni fedha kidogo tu ila walipoingiakatika utekelezaji walikuta wanata

Watu watatu wanaodaiwa kuwa viongozi wa maandamano ya kushinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania yaliyofanyika nje ya Ubalozi wa Afrika Kusini

Mpango wa damu salama umefanikiwa kukusanya chupa 51819 sawa na asilimia ishirini zaidi ya malengo waliyojiwekea kwa mwaka 2018/2019.

Wataalam wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kuandika maandiko bora yenye kuzingatia mkondo mzima wa ongezeko la thamani (value chain

waliofariki kutokana na ajali ya moto wa lori la mafuta mkoani Morogoro, Agosti 10, 2019 imefikia 100.

Mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC unaendelea kufanyika jijini Dar Es Salaam ambapo Rais Dkt.Joh

Pages