Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara ametoa onyo wazazi na walezi kutowatelekeza watoto wenye mahitaji maalum wafikishwapo shuleni.

Wizara ya afya maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto imesema asilimia 40 ya wanawake wenye miaka 15 hadi 19 nchini

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amevitaka vyombo vya usalama nchini humo kukomesha mfululizo wa mauaji ya Wakenya wasio na hatia nchini kote.

Kuelekea chaguzi za serikali za mitaa serikali mkoani Lindi imesema kuwa haito fumbia macho vurugu zitakazo sababishwa

Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa wamempa siku saba mkuu wa Mkoa huo, Ally Hapi kuwaomba radhi baada ya kuwataka nao kuwa na vitambulisho vya wafa

Wakulima wa kijiji cha Njia nne wilayani Kilwa mkoani Lindi wamelalamikia mashamba yao kuvamiwa na makundi makubwa ya ng’ombe ambao yameharibu maza

Mkuu wa mkoa wa Lindi GODREY ZAMBI amezindua rasmi soko la madini la mkoa katika wilaya ya Ruangwa mkoani humo, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la se

Mkuu wa mkoa wa Lindi GODFREY ZAMBI  amemuagiza Mganga mkuu wa wilaya ya Nachingwea kuhakikisha kuwa ndani ya wiki 2 anak

Baadhi ya wazazi wilayani Kilwa mkoani Lindi wamelalamikiwa kuwaingiza watoto wao ambao ni wanafunzi katika matumizi ya dawa za uzazi wa mpango .

Serikali imeombwa kushughulikia changamoto ya upatikanaji wa maji safi katika kijiji cha Chiola B wilayani Nachingwea mkoani Lindi kwa kupeleka ume

Pages