Licha ya kuwepo taarifa za ugonjwa wa DENGI katika mkoa wa DARES SALAAM na mikoa mingine hapa nchini, imeelezwa kuwa katika mkoa wa Lindi hakuna ta

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema taarifa ya kukaguliwa ofisi ya CAG tayari ameshaipitia ila kuna mambo kadhaa ya kuweka sawa.

Inaripotiwa kuwa zaidi ya kondoo 12 wameandikishwa katika shule ya msingi nchini Ufaransa kama wanafunzi baada ya hofu kuwa shule hiyo inaweza kufu

Kundi linalojiita dola la Kiislamu IS, kupitia chombo chake cha habari cha AMAQ, limekiri kuwaua wanajeshi 11 nchini Nige

Wakazi wilayani Nachingwea mkoani Lindi wametakiwa kufahamu kuwa kuna wakati mashine za kielektroniki za

Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujenga vyoo bora katika kaya zao ili kuepukana na magonjwa ya milipuko yanayoweza kusabishwa na vinyesi vya bin

Halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi imejipanga kuboresha miundombinu ya sekta ya uvuvi ikiwemo ujenzi wa vizimba, kuanzishwa kwa minada ya

Elimu ya lishe bora bado ni changamoto kubwa katika maeneo mbalimbali wilayani Kilwa mkoani Lindi ambapo kwa kipindi cha

Serikali kwa kushirikiana na taasisi za sekta binafsi imeendelea kutoa elimu ya kilimo bora inayojumuisha matumizi sahihi ya mbolea za asili, viuat

Wakazi wa kata ya Nangando wilayani Liwale Mkoani Lindi wamejitolea kujenga madarasa mawili ya sekondari ya Nangando ili shule hiyo ifunguliwe mwak

Pages