Kamanda wa polisi mkoani Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema kufuatia kupokea taarifa ya watu wawili kujinyonga, mwaka huu wataanza msako kuwabaini

Katika kuelekea sikuu ya Christmas, mwanamke aliyetambulika kwa jina la Christine Kayendeke, amenusurika kifo kwa kushambuliwa na mume wake Peter K

Viongozi 6 wa Chuo kikuu Dar es salaam (UDSM) akiwemo Rais wa wanafunzi ,Mwenyekiti wa Bunge, Waziri wa Mikopo, Mwenyekiti Mhimili wa Mahakama, Mwe

Wadau wa elimu ya awali nchini wamesema mrudindikano wa wanafunzi wa darasa la awali  umekuwa mkubwa,  hali inayowafanya walimu kushindwa kumfikia

Jackline Samwel (9), amefariki dunia leo Alhamisi Desemba 12, 2019 baada ya kugongwa na gari lililokuwa katika msafara wa Inspekta Jenerali wa Poli

Katika hali ya kustaajabisha, wanafunzi na mabinti kati ya miaka 10 hadi 15 katika mkoa wa Shinyanga wamekuwa wakipelekwa na wazazi wao kwa waganga

Watu watano wasadikiwa kufariki na wengine 27 hawajulikani walipo kutokana na mlipuko wa vulkano, huku watu 23 wakiokolewa na polisi wametahadharis

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mwenzake wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba wametumia furs

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza kusamehe Wafungwa 5,533 huku akisema kuwa Mkoa ambao wafungwa wengi wameachiwa ni Mkoa wa Kagera

Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema licha ya kuahidi kujenga meli mpya wakati wa kampeni zake mwaka 2015, lakini hakujua fedha atazitoa wapi.

Pages