Mzimu wa zuio la kusafirisha makinikia tangu 2016 bado unaiandama Kampuni ya Uchimbaji wa Madini ya Dhahabu ya Acacia ambapo uongozi huo umeamua kutangaza  kupunguza wafanyakazi ili kumudu gharama za kiuendeshaji kutokana na kushuka kwa faida katika biashara waifanyayo.

Sababu nyingine iliyotajwa ni mabadiliko ya uongozi, ambapo  yamechochea upunguzwaji huo wa Wafanyakazi, ambapo tangu mwaka 2017 mapato ya Acacia yameshuka kwa 29%

Usiache kutembelea kurasa zetu za kijamii kupata habari mbalimbali 

Twitter Mashujaa Fm
Facebook Mashujaa Fm
Instagram Mashujaaradio

 

Share with Others