Nchini Oman katika kusheherekea sikukuu ya Idi imefanywa uamuzi wa kuwaachia huru wafungwa 478. Aidha katika wafungwa hao walio achiwa huru raia wa kigeni ni 240 kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini humo. 

Shirika rasmi la habari la nchini Oman (ONA) limeripoti kwamba wafungwa walokuwa na makosa tofauti 478, ikiwa ni pamoja na raia wa kigeni 240 wamesamehewa vifungo vyao na kuachiliwa huru baada ya hati ya msamaha iliyosainiwa na Sultani Kabus bin Said kusambazwa.

Share with Others